Hanscana kua mbunifu, usiige idea za wenzio!

Hanscana kua mbunifu, usiige idea za wenzio!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Ni baada ya kuicheki video ya BILIMA ya nuhu mziwanda. Yaani jamaa (Hanscana) kaiga idea ya director wa video ya wizkid - show you d money. Kuanzia ile halaiki ya watu iliyowazunguka akina nuhu, wale akina dada na yule mtoto kucheza juu ya gari na aina ya uchezaji wenyewe.
Sasa naanza kukubaliana na Director Adam Juma(AJ) kwamba hanscana na nisher licha ya kutupiana madongo kila leo kila mmoja akijitapa ni zaidi ya mwenzie, lakini wote ni watu wa kuiga idea za ma - director wengine akiwamo yeye (AJ).
Ili hanscana na nisher waweze kufika viwango kama vya akina Godfather, Justin campos na clarence peters, wajaribu kuwa wabunifu kuliko kuiga idea za wenzao.
 
Hilo nalo neno ..! Kuna muda video zinakuwa hazilizishi hasa kwa directors wa ndan ndo maana hata wasanii wanakimbilia kushoot nje ya nchi ..! Wanatakiwa. Kuchange sana na sio kuendelea kubadili ming'ao ya mianga katika hizo video zao..!!
 
Je kama ni msanii ndo kataka video iwe vile..... ulitakiwa kuhoji kwanza idea ya nani sio kuconclude kabisa kaiga....
Apo kwa waelewa tunaona kabisa kuna Chuki... tujifunze kuweka hoja na kuuliza kwanza kabla ya kurukia kuamua
 
haishindikan pia ilkuwa mawazo ya msanii mwenyewe(Nuh);: ila Hanscana + director Khalfan nawakubali sana
 
lawama isiwe kwa madirector tu hata kwa wasanii wenyewe coz msanii almost ndo anaamua vdeo iwaje!!! take example mwana ya k4real je tunaweza kumlaum godfather? hebu abgalien nasema nawe ya mondi imeshootiwa na hanscana y hajacopy idea za wengne!!! sometym n tatzo la wasanii wenyew bt kwa sasa madirector wanajitahd saana!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom