Jinsi T.I.D. alivyoanza kuvuta unga

Jinsi T.I.D. alivyoanza kuvuta unga

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,900
Reaction score
37,692


tid.jpg

T.I.D ni miongoni mwa wasanii wa muziki wa bongofleva wanao tajwa kama watumiaji wa " Dawa haramu za kulevya " ( PLEASE HAPO KWENYE 'DAWA HARAMU ZA KULEVYA' SOMA KWA SUATI YA KALAPINA )

Back to the point. Hivi ndivyo T.I.D alivyo anza kuvuta unga..


Baada ya kutoka kimuziki mwanzoni mwa miaka ya 2000, T.I.D kama ilivyo kuwa kwa vijana wengine wa Kinondoni,alitaka kupata utajiri wa haraka. Hakuwa na njia nyingine ya kumsaidia kufikia ndoto yake hiyo zaidi ya biashara ya dawa za kulevya.


So kwa kipato chake kidogo kilicho tokana na muziki wa bongofleva, T.I.D aka invest kwenye biashara ya ngada.


KAMA ULIKUWA HAUJUI : Kwenye biashara ya ngada huwa kuna watu wanaitwa TESTA. Hawa testa kazi yao huwa ni kutest mzigo kama upo fresh au famba..

T.I.D wakati anaanza biashara ya ngada, alikuwa kijana mzuri tu. Hakuwa akivuta unga. Alikuwa anavuta bangi tu.
So ili aweze kufanya biashara ya ngada vizuri, ilikuwa ni lazimaawe na TESTA wa kumsaidia ku test mzigo wake...

So akawa anamtumia 'kaka' ake mmoja pamoja na mshikaji wa kaka ake huyo kama Testa wake.


Katika biashara ya ngada kuna dhulma nyingi sana.Hawa Testa wakawa wanamzunguka TID.
Mara kwa mara TID alikuwa akiwapa mzigo wau test wanamwambia mzigo uko " famba " .Ni mara chache sana jamaa walikuwa wanamwambia mzigo upo fresh...

Mwisho wa siku jamaa akaona anapata hasara sana. Akawapiga chini testa wake,akaanza kuwa anavuta mwenyewe ili awe ana test mzigo yeye mwenyewe...

Alivyo test mzigo akanogewa sana. Akawa ana tumia hadi mzigo wake wa kuuza ( HAPA ALISAHAU MANENO YA BIGGIE SMALLS, KWENYE WIMBO " TEN CRACK COMMANDMENTS, ANAPOSEMA " Never Get High From Your Supply " ).


AT THE END OF THE DAY, AKAJIKUTA AMEKUWA MTUMIAJI BADALA YA KUWA MUUZAJI.

 
Btw T.I.D ana kipaji kizuri ila unga umempoteza.

Ana a.k.a za kutosha, Kigogo, Mnyama, Mzee, Warioba nk
 
Btw T.I.D ana kipaji kizuri ila unga umempoteza.

Ana a.k.a za kutosha, Kigogo, Mnyama, Mzee, Warioba nk

Inasikitisha sana.Kiukweli kabisa hapa bongo hakuna mwanamuziki mwenye vocal kali na ya ukweli kama ya TID. Wakati mwingine unaweza kusema jamaa alilogelezewa.
 
Yaani haya majamaa yana vipaji ila sasa..unga umeyamaliza.. T.I.D,CHID NA BANZA STONE.. ni shida kwakweli
 
Hivi a.k.a ya mnyama imetokana na nini? Sioni unyama wowote kutoka kwa tid, namuona mtoto wa mama tu, kama watoto wengi wa dar walivyo. Anyway kuvuta unga ni ujinga, ndo maana namuheshimu sana diamond, nadhani wauza unga wengi wanamtamani na mahela yake
 
TID alikuwa yule wakati yuko MagicFM kama presenter huyu mwingine wa sasa hakuna kitu
 
Back
Top Bottom