New Song: KCEE ft Diamond Platnumz - Love boat

Wakuu nimesikiliza tena huu wimbo mpya wa KCE feat Diamond, ni wazi kabisa huenda Dai hakujiandaa au alivamia tu collabo la watu.

Ukisikiliza kwa umakini utaona kuwa, Sauti ya Dai imebanwa na haisikiki vizuri kabisa, sijui huu ndio ubanajai pua mpya au ndio unaijeria umezidi kwa huyu mzalendo wetu?

My take: Kwa hali hii watanzania tuna haki ya kumpa kura Davido.
 
Haki ya nani Diamond kaisha wakuu, sijui ndio kupanic au kitu gani? Yani kafunikwa mbaya, hakika huyu siyo dai wa number 1.
 
We kweli umekosa hoja sasa umeambiwa wewe nyimbo ya diamond? Kweli akili ni nywele
 
  • Thanks
Reactions: Mpu
Mimi siku hizi hata sishtuki kusikia domo katoa au kushirikishwa kwenye wimbo wowote ule maana hana jipya.
 
Wakuu nimesikiliza tena huu wimbo mpya wa KCE feat Diamond, ni wazi kabisa huenda Dai hakujiandaa au alivamia tu collabo la watu.

Ukisikiliza kwa umakini utaona kuwa, Sauti ya Dai imebanwa na haisikiki vizuri kabisa, sijui huu ndio ubanajai pua mpya au ndio unaijeria umezidi kwa huyu mzalendo wetu?

My take: Kwa hali hii watanzania tuna haki ya kumpa kura Davido.

Hilo la sauti limeshakuwa tatizo kwake sasa, mimi tokea aharibu kwenye ule wimbo wa Prof J siumizi tena kichwa.
Huwezi kulinganisha wimbo wowote alioshiriki domo na Kiboko Yangu ambapo King aliua vibaya sana.
Hakika Ali Kiba is gifted!
 
Umenena mkuu, yani Dai toka lile collabo lake na Waje kwenye coco baby mpaka leo kawa mtu wa kubana sauti khaah.
 
Matusi ndio jadi yenu mkishapanic, sasa kama ukweli unataka tusiseme?

Aliyepanic ni wewe unayefuatilia maisha ya watu.. Kama kazi zake mmeshasema hamuzipendi sasa mnazifuatilia ili iweje?? Au ndio mpate cha kuja kuongea humu??

Kuwa na busara, kama mtu humpendi acha afanye maisha yake wewe jali yako..
 
Back
Top Bottom