baba anjela
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 431
- 310
Milard ayo unataka kuniambia huna habari zozote kuhusu MTV AWARD na hujui Diamond na Vanesa Mdee ni nominees kutoka Tanzania..... au ndio mambo ya bifuuuuuu
mbona blog nyingine zinaendelea kupost kila siku, kulikoni milard ayo... unatuangusha bwana.Husiweke habari kwautashi wako....weka habari kwaajili ya jamii, kama kuna mambo binafsi yafanyike nnje ya kazi.