Mazingaombwe...magic criss angel na wengine....

Mazingaombwe...magic criss angel na wengine....

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,653
Mi ni big fan wa mazingaombwe ....huwa nina maswali mengi natamani kupata maji bu
na hasa nikimtazama Criss Angel akifanya mazingaombwe yake huwa nashangaa sana
kama kuna watu wanaweza ku share a thing ..kuhusu mazingaombwe basi nawakaribisha hapa
 
Criss Angel bana dah! ana bonge ya crib(iliwahi kuwa katika episodes za Mtv Cribs), full satanic tu. Ana gari kama 50 pia, halafu zote nyeusi. Huwa nikijumlisha hayo yote, naona mazingaombwe ni madude flani tu ya kishetani.
 
Bora wewe umeshindwa kujua ukweli
wengine wanasema ni teknoloji tu....
 
Haya mambo mengine ni ujuha kuanza kuichosha akili yangu inatosha kuangalia na kusepa kama ni teknolojia au ni mwanamalundi au mwizukulu jilala matunge watajuana.
 
Nilifuatilia sana kipindi fulani kutaka kujua ukweli wa mazingaombwe
Kuna clips nying youtube zinaelezea namna jamaa wanavyotufunga kamba
Nikipata jina la hao jamaa wano reveal azingaombwe inakuaje ntaweka hapa
 
Back
Top Bottom