P Square na kasi waliokuja nayo mwaka huu

P Square na kasi waliokuja nayo mwaka huu

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,393
Tangu mwaka 2015 uingie na miezi 6 kuisha kundi la psquare wamekuwa wakitoa kazi zao mfululizo, mpaka sasa zimeshatoka kazi 4. Kazi 3 zikiwa za kwao na 1 ikiwa ya kushirikishwa, huku wakiwa wanaanda video yao mpya na mr. Flavour.
Kazi zao
Psquare ft don jazzy - Collabo
Psquare ft dave scott- Bring it on
Psquare ft awilo longomba- enemy solo
Kazi walioshirikishwa
Makobe ft psquare- getting down
wasanii wetu wanatakiwa kujifunza kutoa kazi nzuri na za kutosha ili waweze kupambana na soko la africa, wasanii kama davido na wizkid nao wameshatoa kazi zaidi ya 2
 
+kwa soko la mziki la sasa hivi ili kwenda nalo sawa ni kutoa kazi nzuri za kutosha hamna jinsi!
 
Back
Top Bottom