Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,174
Wakuu hope mko powa.
Kuna huu wimbo huwa naukumbuka niliusikia sehemu ila sikuukariri vizuri na wala sina uhakika kama muimbaji ninayemdhani ni yeye au la!
Wimbo wenyewe una maneno ambayo sikumbuki vizuri ila kuna sehemu anaimba hivi......"kama jua' nyota na mwezi zilizopo angani. tudumishe penzi...." hayo maneno kwenye blue ndio maneno ninayoyakumbuka hata hivyo sina hakika kama nimeyaandika kama yalivyo.
Wimbo huo huwa nahisi kama uliimbwa na baby madaha ila sina uhakika huo.
Mwenye kuufahamu huo wimbo anisaidie kuujua.