Songa: The best Rapper Alive

Songa: The best Rapper Alive

mr gentleman

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,221
Reaction score
4,693
Mwite Songa huyu ndio the best rapper kwa sasa hapa bongo

11156345_905145332882459_7738459967068966032_n.jpg

Hisia za Moyoni
 
ni msanii mzuri lakini hajafikia hatua ya kuwa best 'rapper alive' labda kwenye session za vilinge
 
​Yuko vizuri sana hongera yake akaze buti
 
Mwite Songa huyu ndio the best rapper kwa sasa hapa bongo

11156345_905145332882459_7738459967068966032_n.jpg

Hisia za Moyoni

Bado sana kumweka songa kwenye best Rappers,
sikiliza mashairi ya Azma, afu jiulize kwanini Songa ana wika zaidi ya Azma ?, utagundua kuwa songa ana ile impressive cartoon Rap style, lakini Azma kashiba ujumbe na vina pamoja na mistari iliyosimama.

Nimechukulia Azma tu kwa mfano wa kawaida, lakini ukija kusema tena Songa ni the best rapper haraka haraka tu mi ntaona kwamba wewe humjui Sterio, humjui O.N.E, forget about Nikki Mbishi.

Mi kuna watu nikiwaskilizaga huwa na enjoy sana.

One
Sterio
Kad Go
Mbeya boy "UD"
Azma
Ghetto
Mbishi n.k

One nadhani ana bahati Mbaya sana kuzaliwa Tz, nikiskilizaga album yake yake ya R.A.P nikichanganya na ngoma zake kama Debut na Get Em, naona kwamba jamaa anazeekea ndani ya fani kakosa promo yakutosha, kama anavyosemaga.
 
Songa ni hatari,one is the best,Azma wa kawaida sana yani sana,Mbishi na Stereo wako poa.....One na Songa ni best tamaduni artists
 
Songa ni hatari,one is the best,Azma wa kawaida sana yani sana,Mbishi na Stereo wako poa.....One na Songa ni best tamaduni artists

Ndomana nimekwambia jiulize kwanini songa ni the best kuliko Azma ?
sitaki kuipeleka hii discussion huko lakini Songa anafanha Rap katuni kwa asilimia kubwa.
 
1.O.N.E
2.Ghetto Ambassador
3.Nash Mc
4.Nikki Mbishi
5.KadGo
 
Huo mtazamo wako, wengine tunamuona wa kawaida tu. Kwa wasanii wa Tamadun/waliopita hapo mimi listi ya top5 ntakupangia hivi,

1. Nick Mbishi
2. One Incredible
3. Stereo
4. Nash MC
5. P The MC or Songa or Male
 
Mbishi is a one dope rapper, but a joke of a man off the mic. He can write, he can tell, he can flow, he can emcee. Can't say the same about the rest of them he rolls with.
 
One is a one true incredible Spitter, and that's all to his game. Negro's delivering skills are wack (takes a lot to understand whatever he's saying), + he tries too much to impress.
 
Huo mtazamo wako, wengine tunamuona wa kawaida tu. Kwa wasanii wa Tamadun/waliopita hapo mimi listi ya top5 ntakupangia hivi,

1. Nick Mbishi
2. One Incredible
3. Stereo
4. Nash MC
5. P The MC or Songa or Male

P the Mc niliacha kumsikiliza baada yakuanza kuimba twist na Zaiid.
 
One is a one true incredible Spitter, and that's all to his game. Negro's delivering skills are wack (takes a lot to understand whatever he's saying), + he tries too much to impress.

Whack!? Spitting in both languages means that he is whack.. Or simply you don't understand this niggah, UNO THE BOY...

How does he try to impress.. Sijakuelewa hapa Baharia.
 
Whack!? Spitting in both languages means that he is whack.. Or simply you don't understand this niggah, UNO THE BOY...

How does he try to impress.. Sijakuelewa hapa Baharia.

You can spit in million languages man, but if you ain't moving no crowd, that don't make you tighter. He spits harder, probly the dopest in the game atm, but he ain't saying much (only him and a few others can pick). A good writer makes sure he's understood, and a dope rapper must be a good writer.

He's about that 'realest, illest' kinda BS, to impress the critics.
 
mtoto wa mama happy iggn anamngoja wakarecord mtukula!
 
Back
Top Bottom