Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Dogo umetishaaa...namuona Vannesa kama anataka kuruka vile kwa furaha
1 Reactions
29 Replies
5K Views
SYLI CLASSIC: B.O.B Micharazo-Kazi Kwanza (Download New Audio)
1 Reactions
2 Replies
11K Views
Huu Ukoo Wa Panya aka CCM kumbe wapo wengi, hadi NIGERIA wametia nanga...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwenye wimbo huo mbele kwa mbele, naomba upload please.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nasikia hii bendi imeingia siafu na kufanya meanadada annet kujitoa na kuunda bendi yake kisa #papaaa aliyekuwa akimtunza kuamisha majeshi kwa bidada mwinginee.haya wenye ubuyu wa kutosha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habaree za time hii wadau. style aliyokuja nayo huyu producer imenifanya nihoji kua ni moja kati ya genius prods in world au jamaa ana bahati? Hebu cheki kanuni yake kick + claps + hats + hey...
1 Reactions
1 Replies
953 Views
Ni kwa muda wa wiki mbili mfululizo zilizopita ambapo ile "HIT & HOT SONG" ya MWANA iliyoimbwa na msanii ALIKIBA ilishikilia nafasi ya pili kwenye chart ya muziki ya iTunes(ambayo ni kampuni kubwa...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Jana nilikuwa Swaziland, ajabu ni yule mwenyeji wangu alipokuwa anaplay nyimbo za Bongofleva kana kwamba anaelewa maudhui yake, ajabu ni kwamba nimezunguka nae siku mzima hakucheza nyimbo yeyote...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Musician Eddy Kenzo has made Uganda proud again by scooping the BET International Viewers choice award becoming the first East African artiste to win this prestigious accolade. Kenzo scooped the...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Habar wanaJF? Wwapenzi wa burudani, wapenzi wa bata( team kula ujana). Nachukua nafasi kuwataarifu kwamba new maisha club inahama masaki na kuelekea makumbisho. Nyuma ya millenium tower...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Habari wandugu, nimewahi sikia zile rnb za zamani zilizohit ambazo zimepigwa kwa mtindo wa rege, nimejaribu kutafuta mixing zake kwa you tube na google nimezikosa, kuna mtu anaweza nisaidia...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hii video naingalia mara nyingi lakini kama siielewi, inshort ni video ya kawaida sana, rangi ya kawaida pia kiasi kwamba hata Nisher au Hascana angeweza kutengeneza nzuri zaidi ya hiyo...
4 Reactions
102 Replies
12K Views
Juzi niliweka hii post lakini siioni.natafuta mwenye link au aliye na nyimbo za hamasa za vyama hivyo,hutumika sana sana katika kampeini. nazitafuta kwa kazi maalum. nitashukuru
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Wadau kuna movie niliona kitambo ila jina sikumbuki, ni horror movie na kisa kinaanzia pale kijana mmoja na girlfriend wake walipoenda porini kwa ajiri ya mapumziko!! Huko porini wakakuta...
1 Reactions
29 Replies
7K Views
Naombeni msaada ni web ipi tofauti na (AdSense au chitica) ambayo naweza ku apply nikaweka matangazo yao katika blog yangu na nikalipwa?
0 Reactions
0 Replies
695 Views
SYLI CLASSIC: Matonya-Visa (Download New Audio)
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari wakuu.. Mi nlikuwa na shida ya software ya kurestore data na files baada ya kuformat corrupted partition ya external hdd...ntashukuru sana km ntapata ambayo ni full version ambayo...
0 Reactions
0 Replies
653 Views
SYLI CLASSIC: D'Banj - Knocking On My Door (Download New Audio)
0 Reactions
0 Replies
612 Views
Back
Top Bottom