Shindano la Tanzania Top Model litafanyika kwa mara ya kwanza nchini siku ya Jumamosi 7/12/2013 katika ukumbi wa Mwalimu JK Nyerere ulioko Jijini Dar es salaam katka barabara ya Shaaban Robert...
Kwa wale wasikilizaji wa DW swahili(Idhaa ya kiswahili ya sauti ya ujerumani) kuna kipindi cha makala ya Afrika kinachozungumzia masuala mbalimbali yanayohusu bara la Afrika.
Wakati kipindi hicho...
Wadau naombeni list ya nyimbo za Album ya "Mambo iko Huku" kuna wimbo mzuri sana ulikuwa katika hiyo album "tape cassette". Wimbo huo nimeusahau jina ila ulikuwa side B ya album hiyo.
Mkiweza...
Kuna wimbo umekuwa ukisikika sana ambao unaenda kwa mtindo huu "paile paile paile.....paile paile..." Ninaomba kwa anayefahamu jina la wimbo na msanii aliyeuimba tafadhali anijulishe.
Natanguliza...
Habari zenu wana JF
Mi ni kijana lakini ni mpenzi sana wa music wa kizamani ila bahati mbaya sijui historia zao basi naomba mwenye kujua historia au wapi ntapata historia za wanamuziki au band...
Maisha ya mwanadamu ni kama maua, yanachanua na kunyauka....huyu mshkaji aliyekuwa askar magereza sijui aliibukia wap akapata hela kibao, akaishi maisha ya kifahari na anasa kibao, akimilika...
Dudu Baya anapingana na kauli kuwa muziki wa Tanzania umepenya Afrika.
Akiongea kwenye kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds TV, rapper huyo amesema muziki wa Tanzania haujapenya kwakuwa...
Nimekuwa nikiwakumbuka watu wa zamani sana katika burudani na sanaa ua uchoraji . nakumbuka namna mabvyo tulikuwa tunapata burudani na elimu kupitia michoro yao kwenye magazeti na magazne mbali...
Kwa yeyote aliepata bahati ya kuicheki ngoma mpya ya I'm kcee atakubaliana na hiki nnachosema huyu mtoto ni nyoko, hafai anatisha nje ndani,hakuna wa kufanana na uwezo wake kwa Tanzania.
Note...
Kila kukicha kuna series kibao na mamovie ya kumwaga.
And every serie is nothing new.
Hivi kina Jack Bauer siku hizi hawawezi kuwa replaced?
Hebu angalia haya madude
Hebu na nyie ongezeni...
Baada ya kijana wangu kunisisitiza nimpigie kura mwanamziki anayempenda katika MTV mama awards, nimelazimika kutembelea website ya MTV BASE ili kutimiza ahadi niliyoitoa jana jioni kwa mtoto...
Kuna nyimbo zikipigwa hata kila huwa nahisi kama bado mpya vile...
10. BUSHOKE - NINKUGONZA
9. BEYONCE - HELLO
8.ALI KIBA - NAKSHI NAKSHI
7.2 FACE - IF LOVE IS A CRIME
6. MB DOG -...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.