Wimbo bora wa Kampeni 2015: Diamond vs Walter Chilambo?

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,964
3,895
Katika hili jukwaa letu la celebrity na burudani kidogo nimeona niweze kuangalia maoni ya watu kuhusu wimbo bora Wa kampeni hizi.

Mpaka sasa Kuna nyimbo ya diamond magufuli no one, ambayo ameibadili hit truck take ya number one kuipigia ccm na makofuli campeni.

Pia nyimbo nyingine inayotumika katika kampeni ilitungwa na bwana mdogo Wa bss aliekuwa bingwa inayoitwa , hatuachi kukupenda lowasa.

Xaxa wadau mnaonaje kati ya hizo nyimbo mbili IPI mpaka xaxa ndio nyimbo bora ya campaign.

Walter chilambo au diamond.
 
Walter Chilambo ndio hatari bhana..
Lowassa....kukupenda siachi,
Hata waseme nini weeee....siachi,
Lowassa weeee....
 
Japo sio fisiem ila kale ka wimbo ka ccm mbele kwa mbele...tumeipenda wenyewee..na wavimbe wapasuke..

Kananifanya nisahau kwa muda shida za ccm kwa muda....


Chilambo ndio nzuri...diamond hapana

hahaaa mkuu hata mimi kale kawimbo nakapenda japo sitawapa kura zangu
 
Japo sio fisiem ila kale ka wimbo ka ccm mbele kwa mbele...tumeipenda wenyewee..na wavimbe wapasuke..

Kananifanya nisahau kwa muda shida za ccm kwa muda....


Chilambo ndio nzuri...diamond hapana

Kawimbo hako kanaboa kwetu kanapigwa alfajir(mbele kwa mbele)mtu unajikuta unapigiwa kelele na kuongezewa hasira na ccm
 
leo ndo nmejua kua diamond nae kafanya remix kwa ajil ya kampen.......ila ya walter naijua neno kwa neno
 
Nyimbo bora Ni ya chid Benz hasa pale mwisho anapomalizia... Msiipeleke ikulu chooni, k**ma**makeee,, k**ma*ake wallahiiiii
 
Back
Top Bottom