fonabo nenda tusker project fame

fonabo nenda tusker project fame

mwaka jana na mwaka huu tusker project fame haijafanyika....lakini pia kule English ndio lugha kuu ya mawasiliano sasa sijui kama yupo vizuri pande hizo
 
Mimi kaniuma sana aisee! Na Calvin huyu kaka nae anakitu tatizo wabongo wajakiona!
 
mwaka jana na mwaka huu tusker project fame haijafanyika....lakini pia kule English ndio lugha kuu ya mawasiliano sasa sijui kama yupo vizuri pande hizo

Kwahiyo lugha ya malkia imepita kaskazin mashariki.....
 
Roho imeniuma sana, Naamini Mungu atamsaidia tu.
 
Imenisikitisha sana,BSS sijui wanapenda watu dizaini ya Jumanne Iddy?Ila Kala dizaini kama kawachana jana.
 
Yaani Carvin na Fonabo ni wazuri mno ktk uimbaji calvin ana somethin unique ila ndo hivyo cc watz Mungu atuhurumie tu maana sijitukani wala siwatukani hatujielewi kabisa tuna claim na maisha yanaenda kwa claiming hiyohiyo
 
Back
Top Bottom