DivaDaily
Member
- Oct 2, 2015
- 18
- 15
Jana Usiku Kupitia Diva na ala za roho ya Cloudsfm Aika na Nahreel ( navykenzo ) walisema wanatarajia kufanya Collabo na Patoranking.
Wakizungumzia Patoranking wanasema walikutana nae mwaka Juzi fiesta wakapanga kufanya track moja ambayo bado hawajaipa jina ila itakuwa kwenye album yao watayoitoa mwakani inaitwa above in the minute ambayo itakuwa na nyimbo 7 au 8 kati ya hizo tano tayari imetoka.
Wimbo Mmoja watamshirikisha Diva ambae wamekiro ni muimbaji mzuri sana licha ya kuwa anatangaza ila nyingine ambayo bado haijapewa Jina atakaa Patoranking Fire star wa kutoka Nigeria.
Kuhusu Ndoa wakali hao wanasema wamedumu katika mahusiano zaidi ya miaka 7 na wanaishi Pamoja kisheria ni Mke na Mume ila bado kuhalalisha kanisani na kuvaa suti na sheria. Ufanyaji kazi wangu na Nahreel kukiwa na wanawake kwenye video or shows namwambia bambia una nafasi ya kubambia na yeye hufanya hivyo sababu tuko kazini sioni ajabu (I trust him) alisema Aika.
Kuhusu Mtoto wamesema akiwa tayari itajulikana sababu saa hizi wamejikita katika kazi yao kwanza ili kuzidi kwenda kimataifa zaidi.