Terminator Genisys

Terminator Genisys

KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
6,249
Reaction score
5,936
Habari za muda huu wadau.

Hope mko poa kabisa,well naomba msaada nahitaji hiyo movie tajwa hapo juu kama kuna mwenye link ya ku-stream au ku-download anisaidie wakuu coz nimejaribu pita kwenye sites mbili tatu nashindwa kui-watch au ku-download wadau.

Natanguliza shukran kwenu. Natumia Internet Download Manager ku-download.

Thanks a lot wakuu.
 



Dah, aisee kuna msemo huwa nawaskia watu wakisema kuwa............."UMETISHA MKUU."

Ndo naishusha hapa asee.

Thanks a lot blood.
 

Attachments

  • TG.png
    TG.png
    45.8 KB · Views: 85
Last edited by a moderator:
afu sarah connor ndio khalisi wa kwenye game of thrones
 
Back
Top Bottom