orangutan
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 756
- 775
Kuna rapper mmoja kutoka US, Kevin Gates mmoja kati ya marapper wenye michano unique na anaekuja vyema kati ya gemu la kufokafoka huko marekani. Nimetokewa kuvutiwa na namna ya uandishi na flow za huyu rapper kwa kiasi kwamba nimefatilia album zake zote, mixtapes bila kusahau hata maisha ya jamaa nje ya music industry. Inshort jamaa keshatoa album kadhaa kama; stranger than fiction, Murder for Hire, The Luca Brassi Story, lUCA BRASSI 2 n.k.
Kilichonipush kuanzisha hii thread ni kutokana jamaa kuamua kuzipa baadhi ya album zake jina la fictious character wa movie na novel maarufu iliyoandikwa na Mario Puzzo-THE GODFATHER. Jamaa kaamua kutumia jina Luca bRASSI kama jina la album zake (The LUCA BRASSI STORY & LUCA BRASSI 2, LUCA BRASSI 3).
Basi kwasababu nilikuwa sijabahatika kuiona hiyo movie wala kuisoma hiyo novel, nikashawishika kuitafuta mara moja hiyo novel nipate kuisoma (coz my favourite rapper katumia jina la mmoja wa character ya hiyo novel kui-market album yake!). Nimeanza kuisoma hiyo novel kwa hamasa kubwa nipate kuona heroics za Luca Brassi mpaka Kevin Gates kashawishika jina la huyo character li-market album zake.
But what a disappointment! Sijafika hata nusu ya novel naona Luca Brassi ananyongwa kirahisi tu na wabaya wa Don Corleone. Jamaa anakufa kirahisi tu na kujiharishia vibaya! Nasema labda maybe it is a mistake labda the guy didn't actually die, kumbe Luca Brassi was really gone for good! Sijaona heroics zozote za kutisha za Luca Brassi zaidi ya kusifiwa kuwa alikuwa loyal, trusted & ruthless soldier wa don corleone! Naiweka hiyo novel chini kwa masikitiko mkubwa na ku-question the rationale behind kwa Kevin Gates kutumia jina la huyu unlucky soldier!!!!