Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,268
- 68,342
Ile bendi maarufu ya chama chetu cha kijani ambayo ilikuwa inatumika sana kipindi cha kampeni kama hiki kumnadi mgombea wetu wa chama, hakika bendi hii ilikuwa moto wa kuotea mbali, wako wapi waimbaji wake mahiri kama akina Hadija Kopa??
Nauliza tuu, mwenye kujua anijuze jamani.
Nauliza tuu, mwenye kujua anijuze jamani.