Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Naomba Mtu Mwenye Wimbo Wa Makamanda Wa Chadema """ Mguu Pandeeeeeee"""""" Afanye Kuniwekea Hapo Niudownload. THANKS
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mkasi kila nikijaribu kuangalia show yenu on Youtube ili kuwa updated na habari za nyumbani nazidi kuwa disappointed, badala ya kwenda mbele mnarudi nyuma. Mwishowe sitakua na budi ila kuacha...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau, Naomba msaada, kwa mtu mwenye nyimbo ambazo hutumika kwenye mashindano ya Dance mia mia nazipenda sana, au kama unazifahamu majina yake. Mimi naifahamu moja tu ya gweta. Nitumie to...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Wimbo wa Mbongwe uliimbwa na Mcongo/Mzaire gani? Nimeutafuta Youtube bila mafanikio, sijaupata... Natanguliza shukrani.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Sehemu ya kwanza Mazoea kwa kweli ni ugonjwa pamoja nakuwa na kila kitu katika maisha yangu hakuna nilicho kikosa. Nilikuwa na maisha mazuri watoto wangu wote wana maisha mazuri, lakini tabia...
2 Reactions
29 Replies
19K Views
Mshindi wa shindano la Serengeti Masta Bw. Salum Ally (wa kwanza kushoto) akipokea kitita chake cha Tsh. 50,000/= toka kwa balozi wa bia ya Serengeti baada ya kuitambua ladha halisi ya bia ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo ilikuwa kali ya mwaka kwa wale waliofika Benki ya NMB Kiteto asubuhi..kwani baada ya kuingia tu walikutana na keki mlangoni, kisha kuombwa kuikata kwaajili ya kusherehekea miaka 10 toka...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Et sema kitu kama umeona iyo kitu
0 Reactions
2 Replies
728 Views
Una mashairi ya "vijana tujitokeze wazee wanang'atuka" ulioimbwa na Msondo Ngoma.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamaa anaye hojiwa Leo ni martin chigere
0 Reactions
29 Replies
5K Views
back in the days tulikuwa tunabishana sana na washkaji kuhusu nani ni mkali kati ya superman na hulk the incredible, mabishano yalikiwa mazito kiasi kwamba sometimes kulikuwa na ugomvi ...
0 Reactions
1 Replies
44K Views
Wakuu habari zenu: Live band ni aina ya mziki ambao msanii anaimba live bila kutumia cd kama ilivyokuwa awali Mziki wa live band umeendelea kuiteka Africa baada ya davido na wizkid na wao kufanya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
https://www.hulkshare.com/roberteliah/ano-melody-rudi-nyumaprod-necka-beat
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika pita zangu nimeona hili. Msanii namba moja na anayeonekana tishio africa kama mashabiki wake wanavyosema: huu ni wimbo wake uliovuma kuliko zote na akimshirikisha msanii bora Davido una...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Huu wimbo sijui unaitwaje lakini wanaimba hivi 'polisi msitupige mabomu cdm serikali ijayo'
0 Reactions
0 Replies
837 Views
Wakuu naomba mwenye wimbo huu wote wa muungano naupenda sana, hapa nilirekodi kipande kidogo sana TBC sasa mwenye wimbo mzima please naomba ukishindwa kutupia hapa ni pm to ili unitumie kwa njia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
nana which was nabed by diamond platnumz has compafed its number over africa to 5 milion within calfot of time.nana has become chernity to most young generation baming africa.we can chug that...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
The lord commander isn't dead,he was spotted filming season 6 .oh afadhali the guy isnt dead.on this picture is seen wearing the Stark armour so i think he isnt watching anymore.
0 Reactions
1 Replies
719 Views
Back
Top Bottom