Daimond youtube

Daimond youtube

Deleted_account

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2008
Posts
3,385
Reaction score
3,702
Katika pita zangu nimeona hili.
Msanii namba moja na anayeonekana tishio africa kama mashabiki wake wanavyosema: huu ni wimbo wake uliovuma kuliko zote na akimshirikisha msanii bora Davido una viewers milion 10 youtube(http://www.youtube.com/watch?v=Cd2bwLcgGGg&list=RDIflpfcHmq5I&index=4) nimecompare na wimbo wa msanii mmoja tu nilikuwa nasikiliza leo asubuhi anaitwa Katy Pery wimbo wake wa Dark horse una viewers BILLION moja na zaidi(http://www.youtube.com/watch?v=0KSOMA3QBU0&list=RDCevxZvSJLk8&index=2). NA ZOTE ZIMETOKA MWANZONI MWA MWAKA JANA

Mashabiki wa Diamond hawatumii internet au jamaa watu hawamuangalii huko nje? umaarufu alionao kimataifa ni upi?
Mtakaokuja kutapika hapa mjue haina uhusiano wowote na Alikiba na pia mjue umuhimu wa YOUTUBE katika burudani na biashara ya music wa kizazi hiki.
nimeattch picha katy.PNG dia.PNG
 
Ok poa mkuu tumekuelewa... Je ushampigia kura za mtv huyu dogo domo..
 
Katika pita zangu nimeona hili.
Msanii namba moja na anayeonekana tishio africa kama mashabiki wake wanavyosema: huu ni wimbo wake uliovuma kuliko zote na akimshirikisha msanii bora Davido una viewers milion 10 youtube(http://www.youtube.com/watch?v=Cd2bwLcgGGg&list=RDIflpfcHmq5I&index=4) nimecompare na wimbo wa msanii mmoja tu nilikuwa nasikiliza leo asubuhi anaitwa Katy Pery wimbo wake wa Dark horse una viewers BILLION moja na zaidi(http://www.youtube.com/watch?v=0KSOMA3QBU0&list=RDCevxZvSJLk8&index=2). NA ZOTE ZIMETOKA MWANZONI MWA MWAKA JANA

Mashabiki wa Diamond hawatumii internet au jamaa watu hawamuangalii huko nje? umaarufu alionao kimataifa ni upi?
Mtakaokuja kutapika hapa mjue haina uhusiano wowote na Alikiba na pia mjue umuhimu wa YOUTUBE katika burudani na biashara ya music wa kizazi hiki.
nimeattch pichaView attachment 287847View attachment 287849

Katy Perry vs diamond haaah okey huo wimbo wa number one ulimfanya diamond apate nomination za bet awards marekani vipi hayo sio mafanikio ya kimataifa pwilo
 
Last edited by a moderator:

20/September/2015 big incident loading WCB HOUSE
 
Last edited by a moderator:
Mambo mengine bwana, msanii wa kidunia na msanii wa Africa watalinganaje viewers? Hata ukimcompate K Perry na wasanii wengine kama Davido(msanii bora Africa) ambaye wimbo wake bora haufikii viewers mil 30 still utaona Ni kichekesho tu, so shut up ur mouth
 
Katy Perry anaangaliwa na wamarekani wote ambao ni mamilioni kibao+ nchi zinazoongea English+nchi zenye utumwa wa English (Africa)
Diamond anaangaliwa na tz,Kenya,Uganda, Rwanda,Burundi,Congo,South.... Nigeria kidogo....sio tu hawez kumfikia Katy Perry hata katoto jojo hawezi
 
Ulimwengu wa kwanza internet ni basic need.
Wao hawana mambo ya kudownload nyimbo, wanaangalia halafu wanaachana nao.
Sisi lazima tu-download.
 
Back
Top Bottom