Wimbo mkali wa Muungano huu hapa

Wimbo mkali wa Muungano huu hapa

gubegubekubwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2008
Posts
685
Reaction score
962
Wakuu naomba mwenye wimbo huu wote wa muungano naupenda sana, hapa nilirekodi kipande kidogo sana TBC sasa mwenye wimbo mzima please naomba ukishindwa kutupia hapa ni pm to ili unitumie kwa njia nyingine. Hii bendi ilikuwa noma sana.
 

Attachments

Muungano chini ya ccm ni upuuzi.
Hatuna hamu nao,serikali tatu ndo suluhisho..
 
Back
Top Bottom