Mkasi ya Leo si ya kukosa!

Mkasi ya Leo si ya kukosa!

Ubavu

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2012
Posts
2,790
Reaction score
3,276
Jamaa anaye hojiwa Leo ni martin chigere
 

Attachments

  • 1443443986599.jpg
    1443443986599.jpg
    46 KB · Views: 1,565
jamaa si muongeaji sana..............
 
Ila mimi wa DIV 2 pts 22, DIV 3 pts 13 na GPA 3.27 namzid kwa hela.
 
Da anatisha haki ya nani..mtu sifa zake mpe..mimi GPA ya hivo sikupata pamoja na juhudi zote..
 
Ana kazi ipi ya kipato? Kufaulu huko nampongeza, je kafaulu.maisha pia???
 
natumai hajaajiriwa bali AMEJIAJIRI let's say kafungua ata kakiwanda kadogo
 
Mbona mimi nilipata Div 1.9mbeyaday 0level Alevel Div 1.3 mbeyaday Chuo Div 4.8 udsm na account yangu inasoma 3.856B ila siitwi na salama_jabiri

salama please niite nami number yangu ni 0755191348 niite nije kuandika kwenye kaubao kale.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu. Si wanasemaga Record ya Lipumba kwenye field hiyo ya Economics haijavunjwa mpk leo.. kwani alikua na G.P.A ya ngapi Bwana lipumba aiseee.??
 
waangalie wanafunzi sisi tunatafuta milioni.uchumi waliosoma akina mwigulu na msaliti lipumba
 
ha ha ha naona mabadiliko kila sehem tanzania yameanza hadi salama kuanza kuwahoji majembe darasani..

huyo mkali kwanza ni noma darasani
 
Mtu hasifiwi kuwa wa kwanza, je unaweza timiza mahitaji yako?
 
Back
Top Bottom