Nana yagonga viewers milion 5 within 3 months

chagga land

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2015
Posts
394
Reaction score
95
nana which was nabed by diamond platnumz has compafed its number over africa to 5 milion within calfot of time.nana has become chernity to most young generation baming africa.we can chug that diamond is pesiting fenierly among the african artists.
 
Naona umeandika na dictionary ikiwa pembeni

Ahahahaha hiyo inaitwa defensive mechanism.... We subir tu kuna watu hutawaona kwenye huu uzi na ni vimbelembele wakubwa hasa pale wanapoona habar ya mafanikio ya Diamond.
 
nana which was nabed by diamond platnumz has compafed its number over africa to 5 milion within calfot of time.nana has become chernity to most young generation baming africa.we can chug that diamond is pesiting fenierly among the african artists.

Sio kwa kiingereza hiki
 
Mkuu mbona umetumia kingereza ngumu sana,au hukua na lengo la watu wote wajue?
 
Team kiba njoooni mtafsiri ki-cameroon huli!
 
safi mkuu kwa kutumia ngeli ili wazungu nao waione hii post tujiunge nao JF (Japo umeandika utumbo)
 
wembeee njoo uniazime dictionary mambo yamekuwa magumu huku
 
Last edited by a moderator:
nana which was nabed by diamond platnumz has compafed its number over africa to 5 milion within calfot of time.nana has become chernity to most young generation baming africa.we can chug that diamond is pesiting fenierly among the african artists.

😛out:😛out:😛out:😛out:
 
HOYAAAAAA, musijifanye munajua sana lugha iliyokuja kwa ndege lengo lake mumelijua na kama hamjalijua ni hivi, "Alikuwa anatuhabarisha juu ya ile nyimbo ya ICON wa taifa NANA imefikisha 5million viewers ktk kipindi cha miezi 3 toka itoke" Sasa musipatie pa kukimbilia wakati sindano inawaingia kisawasawa.
 
nana which was nabed by diamond platnumz has compafed its number over africa to 5 MILION within calfot of time.nana has become chernity to most young generation baming africa.we can chug that diamond is pesiting fenierly among the african artists.

hata kama ndio umeamua kutuchanganya basi ndio ushindwe hata kuandika million na nabbed kwa usahihi??? ..au vichaa ndio mmeamua kutengeneza english yenu siku hizi??
 
nana which was nabed by diamond platnumz has compafed its number over africa to 5 milion within calfot of time.nana has become chernity to most young generation baming africa.we can chug that diamond is pesiting fenierly among the african artists.

Umeikopi wapi hii!??
 
Back
Top Bottom