Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Kwa wapenzi wa muziki wa rock/pop...mnawachukuliaje hawa wasanii!? kimsingi mimi nimeshindwa kubaini nani ni zaidi ya mwenzake!!
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa wimbo mpya wa nguli wa Hipphop ROMA MKATOLIKI wa Vivaaaa roma umepigwa marufuku kuchezwa katika vyombo vyote vya habari nchini.
0 Reactions
61 Replies
19K Views
Wanabodi, Kati ya vitu vinavyompa raha sana binadamu, kumburudisha, kumliwaza, kumfariji, ni pale anapopata ile kitu roho inapenda, hivyo kwa upande wangu baada ya maumivu ya uchaguzi mkuu...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
wakuu sehemu gani weekend wanapiga band nzuri.?
0 Reactions
0 Replies
750 Views
Sandra Bullock will star in an all-female ?Ocean?s Eleven? reboot. The 51-year-old actress is in talks to take on the leading role in the third incarnation of the movie, with Frank Sinatra...
0 Reactions
0 Replies
898 Views
https://www.youtube.com/watch?v=D2v5B6ecs9M https://www.youtube.com/watch?v=2Q0-JHIijo8
0 Reactions
0 Replies
852 Views
Naomba mwenye kuujua wimbo ambao huwa unapigwa kipindi cha bango tbc(kumbukumbu) anisaidie tittle ya wimbo
0 Reactions
0 Replies
790 Views
Naomba mwenye kuujua wimbo ambao huwa unaopigwa kwenye kipindi kipindi cha bango tbc(kumbukumbu) anisaidie tittle ya wimbo
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Umeisikiliza nyimbo mpya ya Chid Benz "benzino" a.k.a Chuma!? ..msituletee habari hizo, msijifanye mnataka sana mabadiliko hata kumpa mwizi, ukiwa mwizi uraiani huwezi kuacha ikulu. ...sichagui...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wapenzi wa sinema za kutafsiriwa kwa kiswahili tumepata pigo la kuondokewa na mtafsiri maarufu wa sinema anaeitwa DERICK MUKANDARA RUFUFU "rufufu" ambae inasemekana amefariki kwa presha siku mbili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Video mpya ya mwanamuziki Belle 9 inayoitwa'shauri zao' imeanza kuonekana kimataifa kwa kuchezwa kwa mara ya kwanza kwenye kituo cha trace tv cha afrika kusini. Hii ni furaha sana kwa belle 9 na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
What's good JF massive? So next weekend I'm throwing a backyard party at my crib right here in John's Creek. There will be plenty of honeys, drinks, and chow. And hey, if you have designs on...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
DJ Arch Jnr's South Africa's Got Talent audition receives final golden buzzer | Daily Mail Online
0 Reactions
2 Replies
932 Views
Lowassa, Lowassa, Lowassa........ WARNING: The video is too sexy. Viewer's discretion is advised!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu, Ni Wapi Naweza Download Hizi Nyimbo Za Old School?? 1.Rise To The Top_ Lost Boys 2. Ya Leo Kali_ Wachuja Nafaka 3. Mambo Ya Feza_ Mr.11 Nimezitafuta Sanaa Mitandaoni, Sijafanikiwa...
0 Reactions
0 Replies
992 Views
Samahani sana wadau, mi naishi mbeya pande za mwanjelwa hapa. kuna mshkaji wangu hapa anajua sana kuflow yan kuimba muziki wa hiphop, kwa sasa anatafuta kundi lolote la muziki huo aweze kujiunga...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kia wale wapenzi wa Muziki wa Congo sana sana wale washabiki wa Legrand Mopao, fungua hiyo link uenjoy track yake mpyaa. Mimi binafsi huyu bingwa namkubali sana.
2 Reactions
10 Replies
7K Views
Salaam kwenu wana JF, Kuna huyu Rapper mtoto wa kike wa kujiita, Chemical, anayetamba na hit single ya Sielewi aliyomshirikisha Soprano kwenye chorus, OMG! Naomba kumpa salute!!! Mtoto ametambaa...
4 Reactions
24 Replies
6K Views
naomba kwa yeyote anayejua majina ya nyimbo za kwaito zinazopigwa sana klabu anipe majina yake pia majina ya nyimbo za sweet reggae za hv karibuni.
0 Reactions
46 Replies
19K Views
Jah Cure releases this highly-anticipated album produced by him and his team, he spent $70,000 US dollars to record and present it for release with VP Records. A prolific artist, the album tracks...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom