Live band yauteka muziki wa Afrika

Live band yauteka muziki wa Afrika

pwilo

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Posts
11,645
Reaction score
14,804
Wakuu habari zenu:
Live band ni aina ya mziki ambao msanii anaimba live bila kutumia cd kama ilivyokuwa awali
Mziki wa live band umeendelea kuiteka Africa baada ya davido na wizkid na wao kufanya show live bila cd tena kubwa
Kwa bongo wasanii wanaopiga live music band wapo wengi kama Christian bella belle9 na wengine kibao
Wasanii wanatakiwa kubadilika kutokana na wakati kwani hata sautisol nao wanapiga live music kwani bila ya kufanya hivyo huwezi pata show matamasha makubwa ni hayo tu"
b9330ec0cc53caa45d926c24bb31a70e.jpg
2b3e8fad26cb9efe9db16e2a32992611.jpg
23e4c7bbc69d30434c5bc3e2abd83b1e.jpg
 
Kwani live band imeanza Leo? Tena zamani ndo ilikuwa sana maana CD hazikuwepo
 
halafu kupiga live haimguarantee msanii kupata show kubwa usijidanganye maana hao uliowataja hakuna ambaye amewahi Fanya show kubwa nje ya nchi
 
halafu kupiga live haimguarantee msanii kupata show kubwa usijidanganye maana hao uliowataja hakuna ambaye amewahi Fanya show kubwa nje ya nchi
Elewa mada kwanza sawa
 
Kilichobaki ni kujiliwaza tu maana hakuna namna tena.
 
Kivipi we huoni kuna umuhimu au??
Umuhimu upo ndo mana anayeongoza kwa kupiga show za live band nje ya TZ na watu wakajaa kwa ajili yake na ni mwanzo mwisho ni DIAMOND PLATINUMZ.
 
Back
Top Bottom