Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Nasikitika utaratibu Wa kutoa albums no kama umekufa Bongo. Ila zifuatazo kwangu ndio albums bora kupata kutokea. 1. Millennia - Mr. II (Sugu) 2. Itikadi - Mr. II (Sugu) 3. Ulimwengu Ndio Mama -...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
=>mr bean =>kelvin =>mr bones =>baby baby Hz ni movie zilizosumbua kweny tasnia ya filamu upand wa comedy Hz ndio nizikumbukazo taja na ww movie gan ya comedy uliyoipenda
0 Reactions
20 Replies
3K Views
  • Closed
SALAMU KUTOKA KUZIMU KIFO kaja duniani kwa kazi moja tu. Akikukuta umekwisha... Akikusalimia umekwisha... Hana mdhaha. Lakini sasa huyu anataka watu mashuhuri, watu wakubwa zaidi. Anataka...
5 Reactions
235 Replies
90K Views
Wadau,mwenye hili song jipya la TUNDAMAN liitwalo MAMA KIJACHO,naomba mniwekee hapa au mnitumie wasap kupitia 0712421642....ni bonge la ngoma aisee.nimelisikiliza kwenye radio station
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kuna nyimbo ya zilipendwa ya zamani kidogo naitafuta sana nadhani inaitwa tabu ila sina uhakika na jina aliyeimba simjui ila inaimbwa ivi. . . ." ni wewe kipenzi nikupendae, kwa jina unaitwa tabu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tika ngai na vanda na ngai tika ngai na benda nzoto obandi kopanza na basango bipayi biso likambo o ngai na nani eh Let me be on my own let me break the relationship before you start spreading...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Utabeba vibovu kuyakimbilia mapenzi. Usijeitaka ndoa kwa pupa...usikimbilie mume utaukondesha moyo. Naupenda sana huu wimbo. Melody, beats na mtiririko wa mashairi. Ni Kassim Mganga...
3 Reactions
5 Replies
4K Views
Nimejaribu kuitafuta torent sijaipata hii movie Wakuu mwenye link ya hii movie ya Mei Gibson anisaidie Shukrani in advance
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wale wapenzi wa Music especially wa Congo nipe vote yako kati ya hao wadau wawili
0 Reactions
17 Replies
11K Views
Mwimbaji mahiri katika band inayoongozwa na Ferre Gola Chikito hicho kipaji na hasa sauti anavyoipangilia tena bila kuchoka je amesomea shule ama kazaliwa nacho? Anavyonichanganya ni namna...
0 Reactions
43 Replies
11K Views
.
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Nahisi kati ya nyimbo zote zilizokua relized mwisho wa mwaka huu Justine kajitahidi sana kurudi vizuri kwa "Purpose" Nlikua na mashaka kwamba ujio wake mpya unaweza kubuma lakini zote zimekua...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Hebu mchek huyu jamaa eti.. Bora nikose pesa maLi/ Jumba gari, niwe na wee/ Nifanye kazi bila saLary/ Yote heri niwe nawee/ yani hapo mnalala nje na hamli..Obvious no survivaL, no Love...
0 Reactions
3 Replies
948 Views
wanajamiiiii msaada tutani.....kwa anayeijua nymbo mpya ya alice saseni aniambie,, naiskiaga tu ikipigwa clouds ila sijaijua inaitwaje nataka download...plzzz!!!!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naona musik huu umedorora sana hapa nchini umepatwa na nini jamani mbona huku kitaa hatusikii tatizo nini?
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kama mjuavyo hasa kwa wakazi was dar! Jana huyu kijana kadondosha show ya maana kabisa kuwahi kutokea,.... ningekuwa nimemaliza kula nyama ningeomba kijiti cha kujichokonolea. Jamaa yupo...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Nnaplan ya kwenda swimming sehemu nzuriiiii kama ramada au ledger plaza au double tree sitaki coco nilizozoea nikabarizi na mdada flani hivi ila sitaki nifike pale nitoe macho kiingilio, kwani...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naona mabadiliko yanaingia katika filamu za kibongo. Azam Naona hapa kupitia Chanel Yao 103 wanaonyesha premier ya Homecoming. Haya Ni mabadiko...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom