mbinde JF-Expert Member Mar 12, 2015 801 651 Jan 16, 2016 #5 Mbona hapo hakuna tatizo jamaa kafata utaratibu unahitaji kisheria, Angalia mwishoni anapomaliza kuimba,utaona maandishi ya kamuacknowledge Dully Syekes. Issue ingekua kama angempotezea bila kumtaja.
Mbona hapo hakuna tatizo jamaa kafata utaratibu unahitaji kisheria, Angalia mwishoni anapomaliza kuimba,utaona maandishi ya kamuacknowledge Dully Syekes. Issue ingekua kama angempotezea bila kumtaja.