Hillsongs Praise & Worship Team ni miongoni mwa waimbaji ninaowakubali, unaweza kuongezea na wengine.
http://youtu.be/-08YZF87OBQ
http://youtu.be/WIpe1OVbQpU
http://youtu.be/UJ2o_z1UGXw...
Wakuu natafuta wimbo mmoja wa Christian Bella siujui jina, ila baadhi ya maishairi yake yanasema "wakikununia ipo siku watakupenda, wakikusengenya nyamaza. .nikawaida yao. ." nimetafuta kwa...
Kwa mara ya kwanza Diamond ametoa nyimbo ya aina yake ambayo ukiisikiliza unavuta picha yenye mantiki flani hivi, mi kwa upande wangu naweza kusema kuwa sasa Diamond amekua, namsogeza karibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.