Mistari ya bongo fleva yenye uhalisia

Mistari ya bongo fleva yenye uhalisia

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,900
Reaction score
37,692
1. Wallahi mademu wa kibongo ukiwa na kiasi cha mboga hata hawakatai...MABAGA FRESH (MTULIZE)

2..
.
.
.
.
.
 
2. kuku kapanda baiskeli, bata kavaa laizoni... MR NICE.. |KIKULACHO|
 
Mapenzi ya kibongo sister duu anakugeuza wee ndo dingi
Mapenzi kidogo mizinga mingi.mr 2.
 
Back
Top Bottom