Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Hua nafikiria sana ni kivipi shirika la utangazaji la Kenya lilibuni hii program inayoitwa Vioja Mahakamani. Sio siri hua navunjika mbavu na kupata burudani kuangalia vituko vya hawa waigizaji...
1 Reactions
7 Replies
7K Views
sina uhakika kama kitabu hichi kimeandikwa na mario puzo ila ni muendelezo wa kitabu cha the godfather. please mwenye nacho au anae weza kuki download akieke hapa.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana jamvi, nimewasalimu, Mimi ni mpenzi wa muziki sana katika library yangu napungukiwa nakala za Maquiz, Sambulumaa( kadiri mke wangu) vijana Jazz.nk. Kwa wale mnaonisoma, kama kuna baadhi...
0 Reactions
0 Replies
853 Views
Kwa Tz tukubali Arusha wapo juu. Hapa ni madogo wakifanya yao.
1 Reactions
16 Replies
8K Views
kwa wale wapenzi wa hizi ladha jamani mimi nipo. Some of my favourates: -buy me a rose. Kenny rogers -if i said you have a beautiful body. Bellamy brothers -i have been love by the best...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Habari wakuu..hebu turelax kidogo na haka kajumapili mwanana. Ni hivi, Bila shaka ukiongelea HIPHOP kwa bongo na ukataja watu watatu the best huwez kukosa kumtaja JUMA MCHOPANGA na FAREED...
0 Reactions
52 Replies
53K Views
jamani naomba mwenye kujua link nzuri ambayo ntaweza download tv shows zinazoonesha series za kiphilipino
0 Reactions
1 Replies
925 Views
Haya tena Le Grand Mopao Papa Fololo ametiririka tena SELFIE REMIX.
1 Reactions
0 Replies
2K Views
1. Wallahi mademu wa kibongo ukiwa na kiasi cha mboga hata hawakatai...MABAGA FRESH (MTULIZE) 2.. . . . . .
1 Reactions
3 Replies
6K Views
New Music: Diamond Platnumz –
0 Reactions
0 Replies
2K Views
download mp3
0 Reactions
47 Replies
14K Views
Msanii chipukizi Rommy B ameachia cover ya wimbo wake mpya utakaoruhusiwa wiki mbili zijazo #WhoYouAre #WhoYouAre #WhoYouAre #WhoYouAre KAA TAYARIIIII anapatikana kwa #RommyB_tz
0 Reactions
0 Replies
895 Views
Mdada wa Kikenya Akothee yuko njiani kuachia video yake na Diamond inayoenda kwa jina la sweet love. Hii hapa teaser ya video.
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Wakuu habari za mapinduzi??? nimekuwa nikipita huku na huko nikaangukia episode 2 za hii series nimevutiwa sana kama kuna mtu anayo hii Series aniambie nimtafute I like it.
0 Reactions
0 Replies
657 Views
Lyrics are by best effort, corrections are welcome. Chorus Uh yeah yeah yeah Awwww, awwww It's the boom bye (bye), the old and the new style Ndani ya pande zako no flying hi (hi) Bwa mdogo...
2 Reactions
15 Replies
15K Views
Habari Nataka kwenda muona Christian bella ,mwenye jua ratiba ya leo Boxing day. naomba anijuze
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wana Jf hope mko poa mi ni kijana mwenye ndoto za kuja kuwa dj nipo dar es salaam sina uwezo wa kwenda chuo ila nina imani kuna academy mbali mbali wanafundisha u dj lakini sijui...
0 Reactions
7 Replies
9K Views
Flavour&Juliana-ololufe/haturudi nyuma ....mash up waliofanya coke studio. Nauoenda Sana maana wameimba kihisia Sana. Natanguliza shukrani.
1 Reactions
59 Replies
6K Views
Classical music! It's all about Orchestras and high musical notes. GOOD MUSIC! High Notes 1)Largo Al Factotum - il Barbiere di siviglia (NATAFUTA MWANAUME ANAYEIMBA HIVI JAMANI ) 2)The Magic...
0 Reactions
0 Replies
610 Views
Nasikitika utaratibu Wa kutoa albums no kama umekufa Bongo. Ila zifuatazo kwangu ndio albums bora kupata kutokea. 1. Millennia - Mr. II (Sugu) 2. Itikadi - Mr. II (Sugu) 3. Ulimwengu Ndio Mama -...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Back
Top Bottom