New Music Diamond Platnumz - Hello

Habarini humu....

Jamani huyu Diamond sasa ana sifa,tena hizi sifaa zimepitiliza!

Kuna nyimbo ake hapa naisikiliza inaitwa HELLOW jamaniiii nyimbo nzuri ,inachezekaa kila kitu poa

Ni kama kamuimbia Wema Sepetu kwa haraka haraka!

Diamond atanichomea radio yangu!

Hivi kwanini nyimbo zake zinavuja? Daaa nifundisheni ku upload audio hapa ili na nyie muipate ukiweza kama una haraka sana Ni PM namba ako afu nyimbo itakufuata whatsap

Shikamoo Diamond platnumz
 
Ni ya kawaida sana. Nimeisikiliza
 
Embu panda boda boda amuimbe huyo mwanamke kwanini kwanza unatafuta kiki za bure tu.

Andika lingine.
 
Bonge ngoma hiyo toka December 18 nkiamka asubuh lazima niisikilize kwanza!
 
Kiswahili bado shida kwa wabongo eeeh...
Usahihi wa lugha ni wimbo na si nyimbo,wimbo kwa maana ya umoja na nyimbo kwa maana ya wingi.
Usiku mwema.
 
ati kila wimbo kamuimbia sepetu

Basi sepetu awe anaenda kuokota viingilio kwenye shoo za Dai
 
Back
Top Bottom