Wana jamvi, nimewasalimu,
Mimi ni mpenzi wa muziki sana katika library yangu napungukiwa nakala za Maquiz, Sambulumaa( kadiri mke wangu) vijana Jazz.nk.
Kwa wale mnaonisoma, kama kuna baadhi yenu anafahamu Studio au yeye mwenyewe anaweza kunifanyia Collection na kunifanyia recording naomba anisaidie kufanikisha zoezi hili napatikana kwenye mitando yote ya kijamii kwa # hii: +250 785 44 8159.
Nitashukuru kwa msaada nitakaoupata.