Vioja Mahakamani

Zeddicus

JF-Expert Member
May 5, 2012
627
534
Hua nafikiria sana ni kivipi shirika la utangazaji la Kenya lilibuni hii program inayoitwa Vioja Mahakamani. Sio siri hua navunjika mbavu na kupata burudani kuangalia vituko vya hawa waigizaji haswa bwana Olexanda Josephat na Ondieki. ni burudani tosha mtu ukiwa na stress jaribu kupitia youtube na uwaangalie hawa jamaa. They are so fun.

Angalia kidogo hapa

https://www.youtube.com/watch?v=hPtPk-2juCQ
 
Last edited by a moderator:
Mimi nafurahia sana hicho kipindi. ..

Mmasai ananivunja mbavu na huwa yuko very serious. ..
 
ITV walikuwa wakionesha vioja mahakamani kutoka KBC, vipo kwa sasa ni kituo gani kinaonesha?
 
Nadhani linaonyeshwa bado. Kundi lenyewe wanafanya tour huku kenya na hata ukipenda wanaweza kufanyia private tour kama vile kwenye sherehe.
Kadri mtu anvyozidi kuongeza miaka,Umaarufu wao huwa inapotea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom