Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

MWIGIZAJI wa filamu na msanii wa Bongo Fleva, Hemed Suleiman ‘Hemedy PhD’, amesema kwamba hataacha kutumia vipodozi kwa kuwa humuweka nadhifu na humwongezea mvuto wa mwili wake. Hemed anayetamba...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Diamond alipofika Manhattan ndani ya jiji la New York... NDANI YA NEW YORK CITY, USA.
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Taarabu ulikuwa muziki wa mwambao wenye mahadhi tulivu na yenye kuburudisha mno ,hata mashairi yake yalibeba mafumbo ya kweli aingia mipasho matusi na kejeli za wazi. Tangu hapo taarabu ikapoteza...
7 Reactions
46 Replies
8K Views
0 Reactions
8 Replies
2K Views
jamani naomba mwenye wimbo wa sara wacha majivuno uliopigwa na Urafiki jazz band aweke, nitashukuru
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu.. Samahani kwa yoyote mwenye wimbo wa chozi la mnyonge na jela wa ndugu yetu Ndanda Kosovo (RIP) anisaidie.. Nitashukuru sana
1 Reactions
8 Replies
11K Views
1.Airplanes ft Hayley williams of paramore 8 Eminem 2.Magic ft Rivers Cuomo 3. So good 4. No man's land 5. Lovelier than you 6. Nothing on you baby B.O.B Ft. Bruno Mars - Nothing On You...
1 Reactions
0 Replies
622 Views
Kuna madai ya kuwa album haziuziki au hazina biashara nzuri kwa wasanii wa Bongo flava, hivyo imepelekea wengi wao kutegemea shows na biashara zao binafsi. Mwezi uliopita nchini Kenya, jamaa...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
nahangaika sana kuitafuta hii series ya mwaka 2006 brothers and sisters kila napotafuta torrents zake nakuta zero seed na zero leech najaribu ku download kutumia appl za kudownload torrent siku...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
0 Reactions
0 Replies
973 Views
Hii nyimbo ya Beka, ingekua poa sana kama angeweza kufanya yote kwa kilingala, naona ndipo alipofunika zaidi.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Diamond Platnumz amemaliza ziara yake ya Ulaya aliyoipa jina, From Tandale to The World Tour iliyompeleka kwenye nchi takriban nane. Show yake ya mwisho ilifanyika Jumamosi hii jijini Copenhagen...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Nimegundua wanamuziki wengi wa kiume huvaa nguo za heshima na sometimes hata suti wakati wanafanya muziki,tofauti na wanamuziki wa kike ambao wengi wao huvaa nguo fupi,nyepesi au zinazoonyesha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
T.I katika ubora wake. 1. What you know 2. Got your back ft. Keri Hilson 3. Get back up ft. Chris Brown 4. Dead and gone ft Justine Timberlake 5. Whatever you like 6. Hallelujah T.I. -...
1 Reactions
2 Replies
971 Views
Hatimae ule usemi wa hutakiwi kutumia hasira umetimia mida hii hapa Mbangala. EFM wamewatangaza rasm watangazaji waliokuwa wa clouds kama majembe mapya ya EFM. PJ, Onesmo na Hando wote wametua...
1 Reactions
5 Replies
502 Views
Niko naangalia hawa jamaa hakika ni burudani kweli
0 Reactions
28 Replies
3K Views
GR CITY HOTEL presents FRIENDS & LOVERS NIGHT ikiambatana na show kabambe kutoka kwa MESHAMAZING,ANNOMELODY,ZAX4REAL& GOLIATH With special appearance ya MC PILIPILI.Kiingilio ni 5000 kwa Gents na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Pamoja na kuwa tumekuwa tukimshuhudia Diamond Platnumz akitangaza kolabo na wasanii wa kutoka Marekani lakini hakuna hata moja tuliyoona hata cover yake, mwaka jana rais wa awamu ya nne, Jakaya...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nimekua nikijiuliza kati ya wasanii wa bongomovie yupi ambae yupo serious na kazi yake na anaweza kuiwakilisha Tanzania nje ya mipaka ya bongo hata akafuata nyayo za Kanumba!! In short nani...
0 Reactions
21 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…