Msaada - Urafiki jazz band

Msaada - Urafiki jazz band

Muyobhyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
8,149
Reaction score
6,554
jamani naomba mwenye wimbo wa sara wacha majivuno uliopigwa na Urafiki jazz band aweke, nitashukuru
 
Nimejaribu lakini sijaupata, napata nyingine tu
 
Naomba kuchangia maneno....'eee sara acha majivuno wee, usiwe kama mwanaisha kanikataa kwa kuwa mimi ni mshona viatuu, kampata mshikaji mwingine eee mwenye gari kubwa sana mtumba, kavunja uchumba mwanaisha, sababu ya bwana mwenye gaari....tamaa yako mwanaisha, itakuponza...kwa kumpata yule bwana, mwenye mtumba...na kunidharau mimi, mshona viatuu..,eee sara acha majivuno wee, usiwe kama mwanaisha.....
 
Wasiliana na mohamed chalcho anaerusha kipindi cha zilizopendwa Radio one stereo kila jumapili saa 5 kwa maana amalizapo kipindi hutaja namba zake za simu so uwe na kalamu stby na kwa faida zaidi yeye binafsi alikuaga mwanamuziki wa urafiki jazz mtapanga stakupa nyimbo hata zaidi ya hiyo
 
nitafurahi kama utanitumia hizo namba kwa number hii 0622418772 niweze wasiliana nae
 
Back
Top Bottom