TANZANNIA
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 1,047
- 384
Nimegundua wanamuziki wengi wa kiume huvaa nguo za heshima na sometimes hata suti wakati wanafanya muziki,tofauti na wanamuziki wa kike ambao wengi wao huvaa nguo fupi,nyepesi au zinazoonyesha sehemu kubwa ya maumbile yao na kusababisha vishawishi kwa wanaume,je haiwezekani wakavaa madera kama waimbaji wa taarab?