BONGO MOVIE: Nani anaweza kufuata nyayo za Kanumba?

jiwekuu770

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
2,246
1,643
99ccebf0a5b4c733a53337642c7e6ab7.jpg

Nimekua nikijiuliza kati ya wasanii wa bongomovie yupi ambae yupo serious na kazi yake na anaweza kuiwakilisha Tanzania nje ya mipaka ya bongo hata akafuata nyayo za Kanumba!! In short nani anaweza kua Diamond wa bongo movie kati Ya ray na Hemedi
Au kama yupo mwingine
Kuza bongo
Endeleza bongo
"Mzalendo hupenda kwao"
3cab59ce35360d45f8508da6bec6571e.jpg
 
Nimekua nikijiuliza kati ya wasanii wa bongomovie yupi ambae yupo serious na kazi yake na anaweza kuiwakilisha Tanzania nje ya mipaka ya bongo hata akafuata nyayo za Kanumba!! In short nani anaweza kua Diamond wa bongo movie kati Ya ray na Hemedi
Au kama yupo mwingine
Kuza bongo
Endeleza bongo
"Mzalendo hupenda kwao"
Hemed ni mara 1000 ya Ray..Japo wote sio wakali kivile

Nawakubali zaidi
1-Gabo
2-JB
3-Richie
4-Baba haji
5-Dr cheni
 
kwani wew mleta mada hata hiyo bongo movies huoni kama inakufa taratibu? hakuna hata haja ya kuchagua mwenye nyayo za kanumba hapo mana hata kile alichokiacha wanakipoteza.
 
Ray kigosi si mkongo siku hizi? hela za kuuza muvi zote ananunua Mkorogo..:D:D:D:D
 
kwani wew mleta mada hata hiyo bongo movies huoni kama inakufa taratibu? hakuna hata haja ya kuchagua mwenye nyayo za kanumba hapo mana hata kile alichokiacha wanakipoteza.
Ndo nataka nijue kifanyike nini ili heshima ya movie zetu irud tuache kuwachangia wakorea na wazungu!!tatizo n wasanii au technolojia
 
I can bet for Hemed but not Ray! Hemed ni mwigizaji mzuri sana akipata team mzuri nyuma yake (back camera team).
 
Hakuna hata mmoja kati ya hao labda yule aliyecheza movie ya bestwife simjuagi jina mweupe hivi

Ray na Hemed hawafai kwenda kurududi mashauzi kama watoto wa kike na midharau isiyo na maana mwenzao Kanumba hakuwa na nyodo zisizo na msingi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom