KIJANA KWANZA RUDISHA HESHMA YANGU..... hii ndo shida JAKAYA ametuachia vijana dot.com kama nyinyi.. wakurupukaji.. ni sheeeddahKama ni kwa kuvaa, kujiremba na kujishaua kweli Bella yupo juu ila katika suala la kuimba nakupinga kwa 100% kuwa Bella hajui kuimba. Kama Bella unasema anajua kuimba mtu kama Tarsis Masela au Charles Baba Kingunge au Ally Choki utawaitaje? Umeanza kufuatilia miziki ya dansi ya bongo lini Kijana? Ukitaka nikubali kuwa Bella anajua kuimba naomba umwambie aache kuiga nyimbo za Koffi Olomide na za Werrason kisha anakuja kuzibadilisha kidogo tu huku bongo na kujifanya kuwa ametunga yeye na anawateka watu msiojua na sasa mnamuona fundi. Hana lolote huyo! Ukitaka burudani ya muziki kesho karibu Mango garden kwa Twanga pepeta na leo ukipata muda jongea pale Mashujaa grill victoria kwa Mashujaa band upate ladha halisi ya muziki wa dansi.
KIJANA KWANZA RUDISHA HESHMA YANGU..... hii ndo shida JAKAYA ametuachia vijana dot.com kama nyinyi.. wakurupukaji.. ni sheeeddah
hebu tunga wewe wako tuone kama utaweza japo wa kukopi tu afu rusha humu uombe wakusapoti.
kwani nimekosea wapi kusema hakuna kama BELLA?
basi naongezea waimbaji wa bongo uliowataja si lolote si chochote.
Kwani wewe unajua umri wangu? Humu tunajuana miaka yetu? Anyway ukweli upo pale pale kuwa katika Wanamuziki mafundi hapa Tanzania Bella wako anazidiwa na wengi tu. Utamsifiaje Bella na kumwacha fundi Patcho Mwamba Tajiri na wengineo ambao ndiyo wamempokea na kumfundisha mziki huyo Bella wako?
Gentamycine,achana kubishana na watu wasojua muziki.Watu hawa hawajui muziki hadi washawishiwe na ma DJ uchwara,wasojua kitu kama wao.Christian Bella kwa tujuao mambo ya muziki hana lolote zaidi ya kujikweza. Nani kama mama ule ni wimbo Wa Kwaya