Hii Series Jamani "Brothers and Sisters Season 1" Balaa.

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
7,869
16,916
nahangaika sana kuitafuta hii series ya mwaka 2006 brothers and sisters kila napotafuta torrents zake nakuta zero seed na zero leech najaribu ku download kutumia appl za kudownload torrent siku ya nne sasa inasoma zero progress.kwa mwenye utaalam anisaidie tafadhari maana kwenye index pia haipatikan nlijaribu kutafuta ni download kwa IDM nimefail pia.
 
aisee nimewahi iona hiyo series ni nzuri sana kwa wapenz wa series zilizotulia. wapenz wa drama. kuna ext hd nlikuwa nayo but ilipotezwa na jamaa yangu mmoja ilikuwepo ningekupatia seasons zote. ni bomba kali na nzuri sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom