Diamond Amaliza ziara ya Ulaya, Adai Reality TV Show yake itaweka Wazi Mambo Mazito

Pilipilihoho

JF-Expert Member
Jan 29, 2016
202
145
23052__uwu.jpg

Diamond Platnumz amemaliza ziara yake ya Ulaya aliyoipa jina, From Tandale to The World Tour iliyompeleka kwenye nchi takriban nane.

Show yake ya mwisho ilifanyika Jumamosi hii jijini Copenhagen, Denmark ambayo video zake inaonesha ilikuwa na mafanikio makubwa.

Mchumba wake Zari aliyemsindikiza kwenye nchi zote alizopita, ameshukuru kwa kuandika: Allow me to thank everyone that helped us while out there in Europe. For showing us around and hosting us. Mostly thank you for allowing my hubby entertain you. Stay blessed.

Tayari Zari amerejea Afrika Kusini kuungana na familia yake.

Katika hatua nyingine Diamond amedai kuwa reality TV show yake ijayo itaweka wazi mambo mengi mazito.

“Can you try to guess the name of our Reality Show?) (Muda si Mwingi Kipindi cha Maisha yangu ya kila siku, Familia na Team yangu nzima itaanza kuwa kwa Tv yako pendwa, ” ameandika Instagram.

“Nakuahidi sio tu eti Kireality show … ni Reality show Bora ambayo naamini utaipenda kunzia kwenye Quality, Mikasa na matukio yote nnayopitia mimi, Familia na Team yangu kila siku….Mengi yanaonekana, Unayoyasikia, Unayasoma ila kwenye Hiki kipindi ndio itakuwa Thibitisho la kila uvumi uusikiao….Sjui Kipini puani, Mara jicho, Mara sjui @officialshetta , Mara DNA, Mara @romyjons kutoinekana tena kwenye Tour Ghafla….Niamini mimi yote utaona na kuyapata kwa uwazi kabisa, Kaa na Mimi…….! We unavyohisi reality Show yetu itakuwa inaitwaje…..?” ameongeza.
 
Mi nishagachoka jamanii ,hebu niwekee nagharamia au lupela niburudike mie cc Nifah

na wanaume na nyie muige jamani kutoka kwa daimond mpende familia zenu wengine mkioa Tu mnawasahau mama zenu,igeni kwa daimond pia na kuwapenda wapenzi wenu sio kumkalisha kigoma Tu miaka yote anakula migebuka alaaa
 
Diamond simpendi lakini katika suala la kumpenda mama yake na mahabat yake kwa wanawake zake nayaelewa sana.

Wenye macho na waone,hivi unaanzaje kumuacha mwanaume anayejali namna hii?
Hata kucheat tu huwezi.
 
kwa Hilo anajitahidi jamanii,hajivungi halaf wema alikuaga anaachwa Tu hahahaha jamani zari kajua kushikilia haswaaa
 
Point taken

Pamoja na mapungufu ya Nasibu ila ameonyesha ukomavu sana katika kuijali familia yake hasa Mama yake mzazi.

Big up Diamond
 
Diamond simpendi lakini katika suala la kumpenda mama yake na mahabat yake kwa wanawake zake nayaelewa sana.

Wenye macho na waone,hivi unaanzaje kumuacha mwanaume anayejali namna hii?
Hata kucheat tu huwezi.
Nilifundishwa zamani ukimpenda Mama yako akakuombea mema unafanikiwa sana.

Ndio maana sishangai Diamond kufanikiwa ana baraka kutoka kwa Mama yake mpendwa.

Big up Diamond
 
kwa Hilo anajitahidi jamanii,hajivungi halaf wema alikuaga anaachwa Tu hahahaha jamani zari kajua kushikilia haswaaa

Wema was naïve in those days, Zari is more exposed and matured, she knows how to butter her bread even by keeping mama Diamond sweet and close. She read the pic and realised Bi Sandra is everything in this dude's life.
 
kwa kweli zari anajua kumtumia daimond ,nadhan Hilo kalijua kua diamond anampenda mno mama yake anatumia hiyo fursa wanasema ukitaka Kula na kipofu usimshike mkono,wema kapinduliwa vibayaaaa,na bora angepata mwanaume zaidi ya daimond akawa anapelekwa vacation lakin ndio hivyo idrisa kabaki kupiga photo shoot tu
 
Nifah huyu Diamond kakukosea nini mpaka unaandika humpendi? Vibaya hivyo kutompenda binadamu mwenzio ambaye hajawahi kukukosea chochote na wala humfahamu kiasi hicho na si ajabu ungepata nafasi ya kumfahamu kwa karibu labda ungebadili kauli yako ya kutompenda.

Diamond simpendi lakini katika suala la kumpenda mama yake na mahabat yake kwa wanawake zake nayaelewa sana.

Wenye macho na waone,hivi unaanzaje kumuacha mwanaume anayejali namna hii?
Hata kucheat tu huwezi.
 
I give him 1000% for the love he shows to his mom, The only woman who will never ever betray him
 
Nifah huyu Diamond kakukosea nini mpaka unaandika humpendi? Vibaya hivyo kutompenda binadamu mwenzio ambaye hajawahi kukukosea chochote na wala humfahamu kiasi hicho na si ajabu ungepata nafasi ya kumfahamu kwa karibu labda ungebadili kauli yako ya kutompenda.

Uwiiiiiiiiiiii uwiiiiiiiiiiiii
I miss you my lovely kaka!
Am speechless!
Leo nilikuwa nakuongelea sehemu,natamani hata niseme nini sijui!
Achana na hayo mambo ya Diamond kwanza.
You missed.
 
Shukrani sana, ila Nifah Mhhhhh! Unaniongelea mpaka mtaani jamani? Duh!

Uwiiiiiiiiiiii uwiiiiiiiiiiiii
I miss you my lovely kaka!
Am speechless!
Leo nilikuwa nakuongelea sehemu,natamani hata niseme nini sijui!
Achana na hayo mambo ya Diamond kwanza.
You missed.
 
Anakuja na jambo zuri na kama ilivyo ada, akiingia kwenye jambo lazima afanye mapinduzi
 
Wengi mna andika kimapenz, wengine kinafiki maana mnajuwa ukweli ila mnauficha ila mimi nitaandika makavu live.
Nijambo zuri Diamond amekwenda kupeperusha bendera ya Tz akiwa na mama yake. Hapo nampongeza sana.
Ila kwa wale wanamsifia kuwa eti alikuwa na familia yake yani Zari na mtoto naomba waache kutupotosha jamii nakupotosha ukweli. Ikiwa taifa letu lina aina ya washabiki vilaza kiasi hiki basi binafsi sitoshangaa kuona siku moja tunanunulia kama bidhaa yeyote sokoni. Diamond hana familia wala hana haki miliki yakuwa mume wa Zari na ningeomba sana tusipotoshane. Mke kwa mila za kiafrika lazima ukamtolee posa na mahari kisha muende msikitini, boman au kanisani ilikufunga ndoa na ili kuweka msisitizo na kumbumbu serikali inatoa cheti cha ndoa nakuwekwa ofisi ya waziri mkuu.
Hivyo basi Diamond hajaowa Zari wala kumtolea mahari yakumfanya kuwa mke wake. Anacho kifanya Zari na Diamond nikutuchora na kwakuwa Zari ana akili kubwa kuliko Diamond then picha ndio limeanza. Ukwel nikuwa Diamond yupo na mke wa mtu alie anza nae maisha nakuzaa nae toto tatu kama sijakosea. Nakwasheria yule wakwanza ndie mume wake. Kwa sababu hakuna mahali big bos ametoa talaka au Zari kukana kuwa yule sio tena baba watoto wake na sasa ameanza new life na Diamond. Ili uamin haya Diamond anarud bongo na Zar anaenda SA ambapo mume wake anaukwasi wakufa mtu.
Kuhusu mtoto jamani pia nilishasema Diamond aje apime Dna Bongo pale ocean road. Akiweza hilo yeye kidume ila kwa sasa akae kimya na asitudanganye eti yule ni mtoto wake maana hata kabla yake Zari alikuwa na kizazi. Swal tujiulize b4 Zari je Diamond anamtoto wakusingiziwa? Kama yupo changanya akil yako na yangu uchape lapa.
Nilazima mjuwa watanzania hakuna vishindo visivyokuwa na mwenyewe. Vijana wetu wanapata nafasi na bahati zakutumia ila wao wanacheza na wakati, wakati ni ukuta ukishindana nao manundu yanakutoka. Diamond pamoja na heshima yote kapata ila mtu mmoja atampoteza njia na watu wote mnamsifia pumba hapa mtajeuka kumcheka. Mim nasema hivi Diamond tafakari safar yako uanze upya maana hujachelewa ndio mchana huu inaenda kuwa jioni. Sikuchawii ila huu ndio ukweli tafakar chukua hatua sasa. Mwisho pia weka na gharama za hyo safari. Yani onyesha cost toa income change ngapi? Hehehehehehe!
 
Povu linakutoka kwelikwel
 
Back
Top Bottom