Mwitakesowani
Member
- Jul 24, 2012
- 94
- 29
Wakuu habari zenu.. Samahani kwa yoyote mwenye wimbo wa chozi la mnyonge na jela wa ndugu yetu Ndanda Kosovo (RIP) anisaidie.. Nitashukuru sana
Unafiki upi? au wewe ndo mnafiki unayembania mwenzakoAcha unafki kanunue CD yake kama kweli unampenda
Ndio ni unafki yeye mpaka mtu afe ndiposa atafute nyimbo zake kwanini hakuzitafuta akiwa hai kama kweli alikuwa anampenda.??Unafiki upi? au wewe ndo mnafiki unayembania mwenzako
Nimekudharau sana, itakuwa nimtoto mdogo usiyejitambua.Acha unafki kanunue CD yake kama kweli unampenda
Bila shaka wewe ndio mtoto mdogo, sijaona sababu ya kutusumbua watu wazima tukutumie miziki wakati miziki imejaa tele kwenye mitandao ni kudownload tu, huo kama sio utoto ni nini labda?Nimekudharau sana, itakuwa nimtoto mdogo usiyejitambua.
HazipatikaniGoogle na YouTube hawajakusaidia?