Fiesta kama kamrija kwa wasanii

Fiesta kama kamrija kwa wasanii

kaitamarogo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2016
Posts
461
Reaction score
496
Fiesta inawaunganisha wasanii mbalimbali kwa mikoa mbalimbali.Japo redio inawapa promotion za kutosha hapa tz ila tatizo najiuliza wasanii wenyewe hawawezi kuwa na umoja wao wakaendasha matamasha na kupata pesa mpaka wasajiliwe na kusaini mkataba . Au ndo fursa ya boss!
 
Hao ni mpaka waunganishwe na wazee wa fursa kama Ruge ila wenyewe ushirikiano wao upo Instagram mambo ya kanga fotooo ekotitee..
 
Back
Top Bottom