Wimbo mpya wa Kara Jeremiah ft Miriam Chwira

Papushikashi

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2016
Posts
11,537
Reaction score
14,275
Nimesikiliza na kuangalia huu wimbo wa Kara Jeremiah ft Miriam chwira Binafsi nimeukubali wimbo umetulia unaitwa WANANDOTO, nimejaribu kuapload video yake ila nimeshindwa..... Upo you tube
 
Mafans mnaishia kumsifia kwamba ni mkali alafu mwenzenu anakufa njaa, wengi wenu kazi zake hamnunui, show zake hamuendi, Aaaaarrrggghh
 
Mi sijawahi na sidhani kama nitaenda maana huwa sio hobi yangu isipokuwa naangalia YouTube na kwenye Chanel ni wimbo mzuri sana sasa ni jukumu lao wao wasanii na serikali kuona wanaweza vipi kupata mapato kutoka huko kwenye social network ila kusema sasa kila shabiki awe na kopi na attend show sio sawa maana pia sidhani kama kwenda show au kununua ni huruma sasa au fundraising flani ili kumsaidia.
 
Wataishia kufia batani kama nzi ndani ya glass ya bia
 
Back
Top Bottom