Vipindi vya Dida wa times FM

Vipindi vya Dida wa times FM

sajumo

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2013
Posts
1,834
Reaction score
1,059
Kuna vipindi vya huyu Dada in short huwa sisikilizi ila hapa uswahilini kuna mama ana redio yake anafungulia. Ananikera kumwambia nashindwa maana mada anazozungumzia ni zaidi ya pumba, ni umbea kelele za kishambenga na kupromoti ushoga nashindwa kuelewa TCRA wapo wapi maana kipindi kinazidi kupotea na kupoteza vipofu.

Nawasilisha
 
niliona aibu siku nasikiliza hicho kipindi nipo na mtu wa heshima kubadilisha nashindwa kuondoka nashindwa
 
Hahahahaaaa nacheka sio kama nna furaha ila kuna wtu wasipoekewa mipaka wanakua nyau ni aibu Kusikiliz kipind kimekaaa kizembe
 
Kuna siku wanapigana na kuuana,kwa jinsi kinavyoendeshwa....tusubili.
 
Back
Top Bottom