Hamasa ya kuhamia Dodoma ndani ya Clouds TV Live

Hamasa ya kuhamia Dodoma ndani ya Clouds TV Live

DOFFA

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
425
Reaction score
233
LIVE CLOUDS TV-FURSA.
Kweli nchi nimeamini sasa DODOMA kuwa DAR ES SALAAM muda siyo mrefu..........................................
Watanzania waanza kuchangamkia fursa zilizoko Dodoma kaimu mkuu wa mkoa aeleza fursa zilizipo na kuwakaribisha wote kuchangamkia fursa hizo,mimi na wewe twende sasa tukawahi fursa hizo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Maisha Hayaendi Hivyo Yaani Kama Wote Tukienda Dodoma Unadhani Inaweza Kuwa Fursa?
UtakuwA Ni Ujinga Wetu
Baadhi Ndiyo Waende Huko
 
Nashukuru Mungu nilishapata kiwanja huko.
 
LIVE CLOUDS TV-FURSA.
Kweli nchi nimeamini sasa DODOMA kuwa DAR ES SALAAM muda siyo mrefu..........................................
Watanzania waanza kuchangamkia fursa zilizoko Dodoma kaimu mkuu wa mkoa aeleza fursa zilizipo na kuwakaribisha wote kuchangamkia fursa hizo,mimi na wewe twende sasa tukawahi fursa hizo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Font color uliyotumia sijui nani kakushauri. Haisomeki na inaumiza macho
 
Kuhamia Dodoma sio kweli kutakuwa fursa kuuuuubwa sana!! Kila nchi duniani ina miji yake mikubwa ya kibiashara na miji mikuu hubaki tu makao makuu ya serkali lakini mishe zote kubwa za kibiashara hubaki katika miji ya biashara.
Dar itabaki dar tu na Dodoma kutabaki kuwa Dodoma.
Tazama tofauti ya New York City na Washington DC, New York bado iko juu tu,Nigeria walihamisha serkali yao toka Lagos kwenda Abuja,Lagos bado ipo juu.
Dodoma hakuna faida za kijiografia kukufanya kuwe mji mkubwa wa kutosha wa kiuwekezaji kama Dar,Dar tayari kuna bandari ya kimataifa,Dar kuna Intl airport, Dar kuna miundombinu tayari mikubwa kama majengo ya kutosha na barabara nzuri kiasi,Dar kuna soko la kutosha la kuuza bidhaa yoyote kwa maana kuna idadi kubwa tayari ya watu,na mambo mengine tayari mengi yapo tayari Dar lakini Dodoma hakuna hivyo vitu.
Naona swala la kukimbilia Dodoma kwa ajiri ya kuwekeza kwangu bado sana.
 
Back
Top Bottom