SHIDA ingekuwa Sumu, basi wote TUNGEKUFA/ wachache wana MIOYO migumu, WENGI kuishi Wanajuta/ PENDA na MAUA yake Kama Ukipenda BOGA/ Usimpe NYAMA ngumu AING'ATE, kumpima KIBOGOYO uwoga/ MORE BLOOD MONEY ndivo navyo SCREAM/ na MAISHA BORA kwa Mbongo bado ni DREAM/ CIVILIZATION, Mafans sasa wanatuuwa ECONOMICALLY/ Hakuna UTUMWA mbaya kama ule wa KUJIONA uko FREE/ Hey LORD, ni wewe tuu PEKEE ninae KUTRUST/ Waokoe wa SIERRA LEONE wasiuawe kwa ALMASI/ MAGAIDI uwaondoe msituni Waondoe WAASI/ Watoe VIONGOZI wahuni, Vitini Wasipewe NAFASI/ Tuondolee UKIMWI, UMASIKINI upunguze KASI/ Wafichue MAFISADI, na wote wanaochinja ALBINO/ Wazee wenye Vipara, na wanaowatoa Kafara MBILIKIMO/ Wamesahau HISTORY, Aint nothing gon STOP/ wana Expect VICTORY, and none less dan DAT/ Hawana MEMORY, THINGS FALL APART/ Kwa PLASTIC SURGERY, White inaweza kuwa Black/ VICHEKO Sio FURAHA, Na SHARI huletwa na MZAA, BALAA//