Mkwala
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 1,180
- 1,277
Leo nimefungua cloudsfm yapata saa nne na nusu asubuhi nimekuta kipindi cha top 20 kama nafasi ya 15,Sasa nimeshangaa lakini ilipofika saa tano wakaanza tena nafasi ya 20.Je hivi vipindi kumbe siyo live kama nilivyokuwa nafahamu maana alichoongea saa nne na nusu ndicho alichoongea saa tano na nusu.Naomba kujuzwa ni live au recorded hususan kipindi cha leo