Ni bit gani ya nyimbo za bongo fleva unayoikubali?

Ni bit gani ya nyimbo za bongo fleva unayoikubali?

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,591
Reaction score
29,493
Kipekee huwa nakubali ile ya Wagosi wa kaya lile song lao la tax yangu umempa deiwa! Tax yangu umempa deiwaka deoooooo bosi akijua itakuaa kimeoooo! Na ile ya Mandojo na Domo kaya ile sema basi umachotaka mamy! Sijui nini ukiniacha nitabaki na nani!

Ebu tiririka hapa useme biti zinazokukosha.
 
Back
Top Bottom