Steven mushi mushi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2016
- 533
- 741
Huyu jamaa namkubali ile mbayaJet Li -Fearless
Weewe una wajua hawa vzuri naungana nawe.Kila mtu ni bora kwa style yake.. Kwa movie za action na vichekesho vingi ambazo zimejaa stunts za ukwel ni jackie chan, ila kwa movie za action za kupaa kuruka ruka na stunts za uongo ni jet li
Ila kiuhalisia wote ni wakali na ni wabunifu sana. Ningeambiwa kupiga kura nisingempigia hata mmoja ili nisipendelee
Uko vizuri mkuuWote nawakubar jet lee movie ya Tai ch, shaolin master, romeo must die,
Jack chain drunken master, the medallion, na nyngne kibaooo
VP ushawi kuangalia ile muvi yao waliocheza wawili ya The forbidden kingdom ilivyo nzuriKila mtu ni bora kwa style yake.. Kwa movie za action na vichekesho vingi ambazo zimejaa stunts za ukwel ni jackie chan, ila kwa movie za action za kupaa kuruka ruka na stunts za uongo ni jet li
Ila kiuhalisia wote ni wakali na ni wabunifu sana. Ningeambiwa kupiga kura nisingempigia hata mmoja ili nisipendelee
Nimeicheki ... Na nilipebda msemo wa jet li "speed,power and accuracy" penda sana zile ruka ruka zao.. Ila wachina mafundiVP ushawi kuangalia ile muvi yao waliocheza wawili ya The forbidden kingdom ilivyo nzuri
Kweli mkuu hawa jamaa noma sanaNimeicheki ... Na nilipebda msemo wa jet li "speed,power and accuracy" penda sana zile ruka ruka zao.. Ila wachina mafundi
Mkuu ila wachina hawa wa sas hivi naona kama wamefulia eenh, wanafunikwacna holywood kupitiliza ,movie zao hazina flavour au labda kwa sababu cjui kichin?Kweli mkuu hawa jamaa noma sana
Hawa wa sasa sio wakali kama wale wa zamani akina sammo hung na wengineo ila kwa kweli sijui ni kwa sababu gani maana sahv wanafunikwa hata na BOLLY WOOD ( Indian movie )Mkuu ila wachina hawa wa sas hivi naona kama wamefulia eenh, wanafunikwacna holywood kupitiliza ,movie zao hazina flavour au labda kwa sababu cjui kichin?
Ha ha ha bolywood? Sitaki hta kuwasikia... Movie zina uongo mpaka unajua unadanganywa..Hawa wa sasa sio wakali kama wale wa zamani akina sammo hung na wengineo ila kwa kweli sijui ni kwa sababu gani maana sahv wanafunikwa hata na BOLLY WOOD ( Indian movie )
Imagine eti movie ambazo hadi starling anakufa ila kwa upande wa mapenzi na nyimbo wako vizuriHa ha ha bolywood? Sitaki hta kuwasikia... Movie zina uongo mpaka unajua unadanganywa..
Movie nilizowahi kuangalia na nikazipenda ambazo ni bolywood niImagine eti movie ambazo hadi starling anakufa ila kwa upande wa mapenzi na nyimbo wako vizuri