jje's Sifa kibao nishasema, yote sababu nimezama Uzuri wako ndo unazidi nipa homa Haki ya nani mi nitakatia bima Mi sisikii napata raha Nitasubiri more honey Na sioni, baby karaha Long time...
Hii imenifurahisha sana,,, ila hii tabia ya kuuingilia show za watu ambazo zimepangwa officially,,kwa msanii haileti picha nzuri maana anajiundermine yani,,,kwa nini wasimwandalie show na...
Wasaalam.
Hivi jamani ni bendi gani za muziki ambazo wewe umewahi tokea kuzipenda na kamwe hutaacha kuzisikiliza hata ukiwa mzee. Mimi binafsi kuna bendi za hapa nchini na za nje ambazo nazipenda...
Miaka hiyo huu ya 90 wimbo "ngapulila" unankikumbusha mbali sana kuna my cousin braza from temeke mwisho alistorowei kwenda kwa madiba daah ilikua msala sana,alifanikiwa kufika akakaa km miaka 5...
Katika hali isiyo ya Kawaida na Surprise kwa Mafansi wake Msanii Mkongwe na Mfalme wa Bongofleva ALIKIBA AU KINGKIBA,Yaaani Yule Mwana dar es salaam @officialalikiba ametua Nchini Kenya bila...
Mwana dada Pipi kaachia video yake inayokwenda kwa jina la Hafai ambapo ndani ya wimbo huo yupo Nick Wa 2. Ingawaje kwenye video Nick Hajaonekana ila Kipekee niseme kwamba hii Video ni...
paaaaaaaaaaap, JfUbuyu.com founder a.k.a team Mafisi huyu hapa.
Ni katika tuzo kubwa barani Africa zijulikanazo kama All Africa Music Award(AFRMA) 2016 ambapo zimefanikiwa kuwapambanisha Simba...
Jinsi lugha ya Kiswahili inavyoendelea kutambulika kimataifa pia changamoto kubwa inaanza kuikabili tasnia ya Bongo Movie kuweza kuandaa sinema zilizo na story nzuri na muonekano bora kimataifa...
Kuna dem ameangusha kipochi leo, nikamwambia *"Excuse me madam"* akasema *"I have a boyfriend"* saa hii niko kwa hoteli nakula kuku••
#Maringo_sipendangi..
Hayaaa, wale mliokuwa mnachochea na kuabudu kaulimbiu ya hainaga ushemeji nyie mnakula tuu. Huu ni ujumbe kwenu,
Hahahhaaaa, Hii miziki ni sooo funny
#Singeli
jaman kuna mwanafunz alpata div3,,25(Civics-D,Kiswahili-D,History-D,Geography-D,Physics-D,Chemistry-D,Biology-C,English-C,Mathematics-F)kapangiwaga PCB,,,lakini huyu alpata...
Naombeni kujua haawa mabinti waliopanda jukwaaani kucheza na Chibbu nani unamfahamu na babake yuko wapi? naona washaharibika, hasa huyo aliyepanda jukwaani wa mwisho namashaka sana.
Sijui ni aina gani ya muziki huu? station kubwa kufululiza kupiga nyimbo hizi badala ya kupiga nyimbo za maana mmeweka vinyimbo vya hovyo anachoimba hakieleweki tunasikia vifilimbi tu hovyo...