The gods must be crazy

am a girl

JF-Expert Member
Nov 1, 2016
748
504
Nimejaribu kuitafuta sites zote ninazozijua nimeikosa,anaejua wapi naweza ku download hii kitu anisaidie please.

cbe500da292aaae28277778d932334e9.jpg
 
Are serious kuwa hujaipats?, mi baada ya kusoma hili bandiko lako nmeenda YOUTUBE nimezikuta ya I mpaka ya III.
Kama unatumia simu install vidmate then itumie hyo kudownload
 
jaribu kuplay hata moja ya youtube uone,haziplay instead inakupa link na nikienda kwenye link nakua directed more and more mwisho wa siku sioni cha maana na zingine ni trailers tu.
 
em screenshot hiyo ambayo inaplay niidownload,natumia pc so ntadownload direct tu from youtube
 
Zinacheza vizur tu yaan nmeplay dakika moja iliyopita baada ya kuona andiko lako,...unatumia simu au komputa?. Mi natumia simu na nmeinstall vidmate huwa nadownload movie nayotaka then naihamishia kwenye naangalia kwa kutumia deki vizur tu.
 
Search YouTube "god must be crazy" then zikija ya 1 mpaka ya 3 zote zinacheza vizur tu...nmescreen shot lkn sina utaalam wa kuweka hapa
 
Back
Top Bottom