Msanii Harmo Rapper aungwe mkono

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,844
43,314
Wasalaam wana jamvi...
Kwakweli vijana wetu wanajua kutumia fursa kwakweli kuna msanii mchanga ana jiita harmo Rapper ana fanana sana na harmonize hasa harmonize yule ambaye kabla hajaanza kupaka poda..
Kwakweli kijana huyu anajua Kurap...ila kwenye swala la kuimba ana hitaji kupewa muda kidogo labda Harmonize aanze kumsaidia...

Kwakweli alichonifurahisha ni kuanza kutumia fursa ya kufanana na harmonize kuanza kuimba nami naamini anacho kihitaji atakipata hata kama hatofanikiwa kwenye kuimba basi atafanikiwa kwingine...
Kingine alichoniacha hoi kwenye wimbo wake amemtafuta binti anayetaka kufanana na wolper nakumtumia...

Sijafanikiwa kuchukua picha yake..kwakweli kijana ana hamu sana ya kutoka...apewe ushirikiano.
 
Jamaa anaonekana n mpole sana
 

Attachments

  • TMPDOODLE1484340301989.jpg
    TMPDOODLE1484340301989.jpg
    54.5 KB · Views: 158

Similar Discussions

Back
Top Bottom